Ticker

6/recent/ticker-posts

RAISI KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA JKT


 Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akikagua gwaride wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Da es Salaam jana mchana.
 Chini na juu ni askari hao wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa gwride la heshima.
 Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakionyesha umahiri wao kujihami na adui kwa mbinu za Karate wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, jana mchana.
 Mbinu za kujihami....
Rais Jakaya Kikwete, akihutubia.

Post a Comment

1 Comments

  1. MUNGU IBARIKI tANZANIA, NAFIKIRI MAANDALIZI YA KUIKOMBOA RWANDA YANAKARIBIA

    ReplyDelete

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia