BUNGE LAWACHACHAMALIA NEY WA MITEGO ,WEMA SEPETU ,SHILOLE,ANTI EZEKIEL WAWAPA ONYO KALI
Leo
kabla ya kujadiliwa kwa bajeti ya wizara ya afya na ustawi wa jamii
ilianza sehemu ya maswali na majibu kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa
nne.
Naibu
waziri wa habari utamaduni na michezo Juma Nkamia ndio alijibu swali la
Catherine Magige kuhusiana na udhalilishaji wa Wanawake unaofanywa
kwenye kumbi mbalimbali za starehe Tanzania.
Waziri
Nkamia alisema ‘nakubalia kabisa kwamba kumbi za starehe zimekua
zikitoa burudani na ajira kwa vijana hapa nchini lakini ndani ya kumbi
hizo kumekua na vitendo vinavyofanyika kinyume na maadili ikiwemo
udhalilishaji wa Wanawake’
Waziri amesema
Amesema
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia