GIGGS APEWA ULAJI KWENYE KLABU YAKE YA MANCHESTER UNITED!, SASA NI KOCHA NA MCHEZAJI!!!
Mnamo Machi mwaka huu, Giggs aliongeza mkataba wake wa kuchezea Mashetani Wekundu kwa mwaka mmoja, na anatarajia kubeba majukumu kamili kama kocha na mchezaji wa kikosi cha kwanza cha Man U msimu huu.
Giggs alisaini mkataba wa mwaka mmoja hivyo pia itakuwa ni issue nzuri kwake pia ataweza kuwaamasicha wenzake kikosini na kuweza kuwapa ushirikiano wa kutosha kwani ni mchezaji mwenye uzoefu wa kutosha na wa siku nyingi kwenye namba ya United.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia