Ticker

6/recent/ticker-posts

NIMEIPENDA HII JAMANI DAR BALAAA:MASHINDANO YA MAGARI YA GHARAMA YASIYO RASMI YA WACHEZAJI WA MAN UNITED: ANDERSON KIBOKO AINGIA MAZOEZINI NA GARI LA MILLION 286


MERC-URIAL TALENT ... Anderson turns up in his £168,395 SLS
    Anderson akiingia na gari yake aina ya Mercedez yenye thamani ya  £168,395 
 
Leo asubuhi wachezaji wa Manchester United walikuwa na mashindano yasiyo rasmi ya kuonyesha magari yao ya thamani wakati wakiwasili kwenye uwanja wao wa mazoezi AON Carrington. Mchezaji wa kibrazil Anderson pamoja na kutokuwa mmoja ya wachezaji wanaolipwa fedha nyingi sana na United - yeye ndio alikuwa mchezaji aliyekuja na gari la thamani zaidi Mercedez ambalo linauzwa kiasi cha millioni 286,271,500 za kitanzania.
 

Rio Ferdinand — Jaguar XJ Portfolio (£70,385)

Rio Ferdinand


Wayne Rooney — Range Rover Sport Autobiography (£84,895)

Rooney


Nemanja Vidic — Mercedes M Class (£47,385)

Vidic



Ryan Giggs — Range Rover Sport Autobiography (£98,395)

Giggs


Phil Neville — Porsche Cayenne (£86,895)

Neville


Rafael and Fabio da Silva — Chevrolet Captiva (£32,000)

Fabio & Rafael

Michael Carrick — Mercedes M Class (£47,386)

Carrick


Ashley Young — Range Rover Sport Autobiography (£68,995)

Young


Alex Buttner — Chevrolet Camaro Coupe (36,785)

Buttner

Post a Comment

0 Comments