Cathbert Kajuna na dada Ester Ulaya hatimaye wamefunga pingu za maisha.
Maharusi wote Mungu awape
neema na baraka katika maisha yenu ya ndoa.
Hapa wakionyesha vyeti vyao vya ndoa.
Kajuna najua hapa presha ilikuwa inapanda na kushuka. Hongera sana kaka.
picha kwa hisani ya anko mo vijimambo blog