Wafanyabiashara wa mkaa wakijaribu kuokoa mkaa usilowe maji . |
Mifugo ikipita katika maji yaliyokuwa yakitokea katika mashamba ya TPC. |
Maji yakipita kwa wingi yakitokea katika Mashamba ya miwa ya TPC na maeneo ya katikati ya mji ambako mvua kubwa imenyesha . |
Mama akimsadia mtoto wake kuvuka maji katika eneo la Mabogini . |
Wanafunzi wakijaribu kuvuka maji wakati wakitoka shuleni. |
Wazazi walilazimika kuacha shughuli zao na kwenda kuwachukua watoto wao wasije chukuliwa na maji. |