Wajumbe
wa Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii
kwa nchi wanachama wa SADC (CISNA) wakiendelea na Mkutano huo leo kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam.Mkutnao huo umefunguliwa rasmi na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Peter
Ilomo (katikati mwenye tai nyekundu).
Katibu
Mkuu Ofisi ya Rais,Peter Ilomo akizungumza wakati wa kufungua Mkutano
wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii kwa nchi
wanachama wa SADC (CISNA) unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA),Irene Isaka (kushoto) akizungumza kwenye Mkutano wa 32 wa Sekta
ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii kwa nchi wanachama wa SADC
(CISNA) unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya White
Sands jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko,Mitaji na Dhamana (CMSA),Nasama
Masinda akieleza jambo wakati Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la
Mitaji na Mifuko ya Jamii kwa nchi wanachama wa SADC (CISNA) unaofanyika
leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya White Sands jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti
wa Mkutano wa 32 wa Sekta ya Fedha, Soko la Mitaji na Mifuko ya Jamii
kwa nchi wanachama wa SADC (CISNA),Oaitse Ramasedi (wa tatu kushoto)
akiongoma Mkutano huo unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.