Ndg Mustapha Manga |
Super Woman Joyce Kiria |
Je, umepata nafasi ya kufuatilia kisa hiki? Ni suala la kweli lililomkuta Mustapha ambaye analalamikia kuanyanyaswa na mke wake. Joyce Kiria na Wanawake Live tulipata nafasi ya kufuatilia kwa undani suala hili na hapa, pata sehemu ya kwanza na ya pili ya mazungumzo kati ya Super Woman Joyce Kiria na Mustapha kisha na mke wake Mustapha kufahamu mustakabali mzima wa familia hii.
Mke wa Mustapha |
Mke wa Mustapha wakijadiliana na Joyce Kiria |
Je, baba Mustapha alipata alichokitaka? Ni nini hicho alichotaka? Tazama video hizi 3, na pia unaweza ukatembelea www.wanawakelivetv.com kwa ajili ya mengi zaidi.
Video 1: Mustapha
Video 2: Mke wa Mustapha
Video 3: Je, Mustapha alipata alichokuwa anakitaka?