Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombea Ubunge katika
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete
wakati wa Mkutano wa Kampeniza lala salama zilizofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Pera,iliyopo kwenye Kata ya
Pera,Chalinze.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze
(CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya
Pera,pamoja na kunadi sera zake
Kaimu Katibu Mkuu wa CCM,Mwigulu Nchemba akitema cheche zake wakati wa
Mkutano wa Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye akiweka sawa taratibu za
Mkutano wa Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la
Chalinze,
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadiwa kwa wananchi wa Chalinze na Mkewe,Arafa Kikwete.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadiwa kwa wananchi wa Chalinze na Mkewe,Arafa Kikwete.