Ofisa utumishi Mkuu Wilaya
ya kinondoni Bwana Godfrey Mugomi
akikata utepe kuashiaria uzinduzi
wa Hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikana sinza wanaoshudia ni
Mkurugezi mkuu na mmiliki wa Hoteli hiyo Bwana Obadia Mtewele na Mkewe Joyce
Msigwa hoteli hiyo ya kisasa inayo uwezo wa kupokea wageni kutoka nnje ya nchi na ndani ya nchi
Muhudumu aliye fuzu katika kazi za Hoteli akiandaa vyombo kwa ajili ya wageni