JOSHUA NASSARI USO KWA USO NA MPINZANI WAKE SIOI SUMARY NDANI YA MONDULI

 Mbunge wa Arumeru Mashariki, Bw. Joshua Nassari (CHADEMA) alievaa suti nyeusi  akiwa anaongea na mpinzani wake Sioi Sumari alievaa shuka la kimasai mara baada walivyokutana uso kwa uso monduli katika maadhimisho ya miaka 30 ya kumbukumbu ya Moringe Sokoine
"unajua bwana sioi sasa ivi tunatakiwa tuachane na tofauti za vyama uje jimbo tushirikiane kutatua matatizo ya wanachi bwana au vipi kaka yangu eeh "alisema Nassari
"usiofu kaka mimi mbona tupo pamoja katika kila kitu tupo pamoja piga kazi "alijibu Sioi aliyekuwa mgombea mwenza wa ubunge wa nassari kupitia chama cha mapinduzi ccm

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post