wananchi mbalimbali wa jiji la Arusha wameipongeza serekali kwa kuwa na vifaa vizuri kwa ajili ya kujiamini na tatizo lolote litakalo weza kutokea wakiongea na libeneke wamedai kuwa katika sherehe hizi za maadhimisho ya miaka 50 ya muungano wameweza kutambua kuwa serekali yao imejipanga kwa lolote ambalo linaweza kutokea katokana na vifaa bora ambavyo wanavyo kwa ajili ya ulinzi ,"kwasasa kweli mtu yeyote atakae tuchokoza atakoma maana tulivyo jipanga tu ni shida yaani acha tu tunajiamini sana kwa sasa ivi atuogopi mtu "alisema mmoja wa mwananchi aliyejitambulisha kwa jina la Lea Abdula |