KUMBUKUMBU YA MAREHEMU JOACHIM BWANAMPINI LEBABU KIRAMBATA

picha ya Marehemu Baba
KUZALIWA 02/02/1945 KUFA 04/05/2013
TAREHE 04/05/2014 UMETIMIA MWAKA MMOJA KAMILI TANGU
MWENYEZI MUNGU AKUITE.
ILIKUWA SIKU YA MAJONZI MAKUU KATIKA FAMILIA YETU.
KIFO KILITOKEA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI DSM.
UNAKUMBUKWA SANA NA FAMILIA YAKO, MKE WAKO BI MARY KIRAMBATA, WATOTO WAKO LILIAN, JOSEPH, FILBERT, FLORENSO, FLORA, JANUARY, OCTAVIAN WAKWE ZAKO ENGELBERT, VIRGINIA, & DEVOTHA WAJUKUU ZAKO CELINE, MARYANNE, MELISA, ROSE, HENRICK, FLORENCE & JEREMIA NDUGU JAMAA MAJIRANI ZAKO, NA MARAFIKI ZAKO, NA WENGINE WOTE WANAKUKUMBUKA KILA MMOJA KWA NAMNA YA PEKEE.
MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU ITAFANYIKA TAREHE 02/05/2014 SIKU YA IJUMAA SAA 4.00ASUBUHI NYUMBANI KWAKE OLELE ROMBO.
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA KWA WATAKATIFU WAKE.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE.
AMEN.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post