Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo
Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya
kuanza kwa kikao cha asubuhi.
Naibu
Katibu wa Bunge Maalum ambaye ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Thomas Kashillah (mwenye miwani) akibadlishana mawazo
na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma kabla ya kuanza
kwa kikao cha asubuhi.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika ukumbi wa Bunge leo mjini
Dodoma kwa ajili ya kuendelea na mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya
Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Costa Mahalu (kushoto) na Profesa
Mark Mwandosya (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya
kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya
Katiba mpya.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiwasili kwenye ukumbi wa Bunge
kwa ajili kuendesha na kusimamia mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya
Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza
kwa kikao cha asubuhi.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiongoza dua ya kuliombea Bunge
na Taifa kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza na
Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa
kikao cha asubuhi.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa
Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati wa mjadala kuhusu maboresho ya Sura
ya Kwanza na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakishiriki dua ya kuliombea Bunge hilo leo
mjini Dodoma kabla ya kuanza mjadala kuhusu maboresho ya Sura ya Kwanza
na Sita ya Rasimu ya Katiba mpya.
picha na Bunge Maalum la Katiba- Dodoma
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia