Katibu mkuu wizara ya Afrika mashariki Joyce Mapunjo katikati na naibu wa wizara ya fedha ya jumuiya ya Afrika Mashariki profesa Adoft F Mkenda pamoja na naibu katibu mkuu wa wizara ya ushirikiano wa afrika mashariki Amatius Msole wakiongea katika mkutano wa maandalizi ya mkutano wa mawaziri wa jumuiya ya Afrika mashariki
Waziri wa jumuiya ya Afrika mashariki Samwel Sitta pamoja na naibu waziri wa fedha mh.Adam Malima wakiwa wanafatilia kikao cha nchi wananachama ushauri wa makatibu wakuu wa wizara
wataalamu wa fedha wizara ya ishirikiano wa afrika mashariki pamoja na wizara ya viwanda na biashara wakiwa katika kikao hicho