CHEKI TASWIRA YA MATUKIO YALIOTOKEA KATIKA MECHI YA YANGA NA PANONE FC MKOANI KILIMANJARO


Benchi la ufundi la timu ya Panone fc likiongozwa na kocha Atuga Manyundo.
Benchi la ufundi la timu ya Yanga likiongozwa na kocha Hans van der plujim na Boniface Mkwasa(Master).
Wachezaji wa Panone fc.
Wachezaji wa Yanga.
Yanga.
Waaamuzi wa pambano hilo wakiongozwa na mwamuzi wa kati Vitalis Alfred
Mwamuzi Vitalis Alfred akisalimiana na mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na kumkaribisha kusalimiana na wachezaji wa Panone fc na Yanga.
Mkuu wa Mkoa ,Gama akisalimiana na mwamuzi msaidizi Ramadhan Mnyone.
Mkuu wa mkoa ,Gama akisalimiana na mwamuzi wa akiba ,Masawe,
Mkuu wa mkoa ,Gama akisalimiana na wachezaji wa Panone fc.
Mkuu wa mkoa Gama akisalimiana na wachezaji wa Yanga.
Viongozi wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro wakiongozwa na mwenyekiti wake Gudluck Mushi na katibu wake Mohamed Musa wakisalimiana na wachezaji wa Yanga.
Mawaidha kabla ya kuanza ka mchezo .
Wachezaji wakipeana mikono .
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub"Canavarho" akiteta jambo na nahodha wa Panone fc Juma Mgunya mbele ya waamuzi wa chezo huo.
Waaamuzi na manahodha wakila pozi la picha ya pamoja .
Kikosi cha Panone fc.
Kikosi cha Yanga.

TIZAMA MATUKIO MBALIMBALI YA MCHEZO WA YANGA NA PANONE FC YA KILIMANJARO KABLA YA KUANZA.

Mgeni rasmi katika pambano hilo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa Yanga mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Baadhi ya viongozi wa Yanga walimkumbuka Gama wakati huo akiwa mkuu wa wilaya ya Ilala ambako katika kipindi chake Yanga ilichukua Ubingwa.
Mashabiki wa soka wakiwa wamefurika katika uwanja wa Ushirika.
Baadhi ya viongozi wa Yanga na Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro wakiteta jambo.
Mama Yanga pia alikuwepo sanjari na mashabiki wengine wa Yanga.
Mashabiki pekee wa timu ya Panone pia walikuwa uwanjani hapo.
Panone fc wakipasha misuli moto.
Yanga wakipasha misuli moto.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post