Amiri Jeshi Mkuu Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza mamia ya
waombolezaji na viongozi mbalimbali wa Serikali na JWTZ katika hafla ya
kuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Jeshi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi
la Kujenga Taifa Marehemu Meja Jenerali Kelvin Msemwa iliyofanyika
uwanja wa makao makuu ya Jeshi, Upanga, Dar es salaam, April 6, 2014.
Marehemu alifariki dunia April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya
Lugalo. Mwili wake unasafirishwa kuelekea Songea kwa mazishi April 7,
2014
Majenerali Wastaafu na walio kazini
Majenerali wastaafu na walio kazini
Jukwaa kuu
Rais Kikwete akiwa jukwaa kuu na viongozi wengine mbalimbali
Mama Salma Kikwete akiwa jukwaa kuu
Sehemu ya jukwaa kuu
Viongozi waliopata kuwa Mawaziri wa Ulinzi Profesa Philemon Sarungi na Dkt Emmanuel Nchimbi na viongozi wengie
Viongozi wa sasa na waliostaafu
Waombolezaji
Kikosi kazi cha maandalizi na utekelezaji
Mwili ukiwasili
Gari la mzinga likiwa limebeba mwili wa marehemu
Maafisa waandamizi wasindikizaji wa mwili wa marehemu
Mwili ukitelemshwa kutoka katika gari la mzinga
Hema kuu inasimama kama ishara ya heshima kwa marehemu
Jemedari Mkuu na viongozi wengine
Amiri Jeshi Mkuu akielekea kutoa heshima zake za mwisho
Amiri Jeshi Mkuu Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho
Wakitoa pole kwa wafiwa
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akielekea kutoa heshima zake za mwisho
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akitoa heshima zake za mwisho
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange akimfariji mjane wa marehemu
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akielekea kutoa heshima zake za mwisho