wachezaji wa timu ya JKT Oljoro wakiwa wanashangili mara baada ya kufunga bao la pili walipokuwa wakicheza na timu ya Prison ambapo walishinda mabao 2-1
waandishi wa habari za michezo wakiwa wanafuatilia mchezo huo uliochezwa katika kiwanja cha kumbukumbu ya sheikh Amri Abeidi
wa kwanza kushoto ni mmoja wa waamuzi wa mkoa wa Arusha akiwa na daktari wa timu ya Jkt Oljoro wakiendelea kupata uji wakati mechi ikiendelea