Mrembo
Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa na tuzo yake baada ya
kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live
...Akiwapa tano mashabiki waliofurika Dar Live katika Sikukuu ya Pasaka.
Wema, Wema, Wema... mashabiki wakimshangilia 'Beautiful Onyinye' baada ya kutangazwa mshindi.
Mhariri
wa Gazeti la Ijumaa lililokuwa likiendesha shindano la Ijumaa Sexiest
Girl, Amran Kaima (kulia) akipozi na mshindi Wema Sepetu. Kushoto ni
shabiki wa Wema.
Amran Kaima akielezea mchakato uliotumika kumpata mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shangwe za Dar Live.
Mratibu
Mkuu wa kampuni ya Global Publishers, Luqman Maloto akiwakaribisha
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho na msanii Nikki wa
Pili kukabidhi tuzo kwa mshindi.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho akiongea machache kabla ya zoezi la utoaji tuzo.
Msanii kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili akimtaja mshindi.
Wema Sepetu akiwa stejini baada ya kutangazwa mshindi.
Nikki wa Pili akimkabidhi tuzo ya Ijumaa Sexiest Girl, mrembo Wema Sepetu.
Wema akipozi na tuzo yake.
Wema akicheza wimbo wa Number One ulioimbwa na mpenzi wake Diamond Platnumz baada ya kutwaa tuzo.
Washereheshaji katika usiku wa Pasaka, Pamela Daffa na Benjamin Mwanambuu wakifanya yao stejini.
Said Fella (wa pili kushoto) akiwa na crew ya Madj ndani ya Dar Live.Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wa burudani waliofurika ndani ya Dar Live.
...Aslay akijiachia na shabiki wake aliyepanda stejini kumpa sapoti.
...Akimchombeza shabiki mwingine aliyepanda stejini.