wasanii wa bendi ya mashujaa wakiimba baadhi ya nyimbo zao zilizokonga nyoyo za mashabiki mbalimbali walioudhuria katika ukumbi wa blue flame ulioko ndani ya jengo la Triple A
wakisakata rumba yote haya kuwapa raha wapenzi wa bendi ya mashujaa wa jijini Arusha
meza ya wafanyakazi wa megatrade ambo wamedhimini onyesho hili kupitia kinywaji chake cha K-Vant gin
SAMAHANI KWA JINSI PICHA ZINAVYOONEKANA WADAU WETU WA LIBENEKE