Ticker

6/recent/ticker-posts

BREKING NEWS !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

WATU wawiliwamefariki dunia na wengine kuumia mara baada ya magari mawili ambayo  ni hiece pamoja na gari dogo aina ya Corola kugongana katika eneo la Orjoro jijini Arusha.

kwa mujibu wa taarifa tulizozipata  inasemekana kuwa watu hao walikuwa wanatoka katika sherehe ya mahafali ya mafunzo ya jeshi huko JKT Oljoro.

libeneke la kaskazinii litaendelea kukuletea taarifa zaidi.......

Post a Comment

0 Comments