BREAKING NEWS

Monday, April 7, 2014

MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA CHALINZE YATANGAZWA RASMI, RIDHIWANI KIKWETE (CCM) ASHINDA KWA ASILIMIA 86.5

Matokeo ya Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze yametangazwa Chama cha Mapinduzi CCM kimepata jumla ya kura 20,812,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimepata idadi ya jumla kura 2,828 na chama cha Wananchi CUF kimepata kura 474.
 
Hivyo chama cha Mapinduzi CCM kimeshinda Kiti cha Ubunge Jimbo la Chalinze
 

CCM 20812 = %86.5 CDM 2628 = %10.9 CUF 473 = % 1.9 AFP 78 = % 0.3 NRA 59 = % 0.2

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates