Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa
Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini
Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama tawala barani Afrka.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa
Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini
Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama tawala barani Afrka.
Kulia ni Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiagana na Rais wa Uganda Yoweri
Museven baada ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbali kwenye
uwanja wa Amahoro, mjini Kigali, Rwanda.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza,
William Hague wakibadilishana mawazo kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya
mauaji ya kimbari, katika Uwanja wa Amahoro leo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Thabo
Mbeki wakibadilishana mawazo kwenye Uwanja wakati wa maadhimisho hayo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahma Kinana, akiwa na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa,
Mama Anna Mkapa na Rais Mstaafu wa Botswana Sir. Ketumile Masire wakati
wa maadhimisho hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akibadilishana mawazo na Rais wa Mstaafu
wa Burundi Pierre Buyoya na mke wa Buyoya wakati wa maadhimisho hayo.