Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii Elizabeth Michael a.k.a Lulu ameandika maneno haya hapa kukusu Kanumba:-
"bado
siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona ama kukusikia
baba....ninaamini bado tupo wote kiroho, Na ninaamini zaidi nafsi yako
huko ilipo inasimama kunitetea na kunipigania, inaweza kunichukua miaka
na miaka kukuelezea...u still liv in me daddy and your dearly
missed....R.I.P daddy angu" huo ndiyo ujumbe alioutoa leo hii
Ikumbukwe kuwa leo ni miaka miwili tangu Msanii wa Filamu Bongo Sreven Kanumba afariki dunia Aprili 7, 2012.