Mgeni
rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa
Mh. Bernard Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la
Pasaka lililofanyika jana kwenye uwanja wa Taifa akizungumza na
mashabiki mbalimbali waliojitokeza katika tamasha hilo na kuwaomba kuwa
watulivu wakati huu wa mchakato wa katiba mpya akisema uamuzi mtautoa
nyinyi ni serikali gani mnaiihitaji iwe moja, Tatu au Mbili nyinyi ndiyo
mtaamua na sisi tutakipitisha kile mlichokiamua. Kulia kwake ni
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama na katikati ni
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh. Angela Kairuki.
Mwanamuiki
wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse Phoofolo
akicheza na mashabiki wake wakati alipokuwa akifanya vitu vyake kwenye
uwanja wa Taifa jana.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Zambia Ephraim Sekereti akiimba jukwaani jana.
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse
Phoofolo akicheza na kwa mbwembwe wakati alipokuwa akifanya vitu
vyake kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh.
Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete akiongozwa kuelekea
jukwaani na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama
Mwimbaji
wa ijini kutoka nchini Uingereza Dayo Bello akiimba na mkewe Ruth Tobi
wakati wa tamasha la pakasa kwenye uwanja wa Taifa jana.
Mwimbaji Jesca BM naye alipagawisha mashabiki
Mchungaji mtarajiwa Masanja Mkandamizaji akifanya vitu vyake jukwaani
Umati uliojitokeza katika tamasha hilo.
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh.
Bernald Membe aliyemuakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Tamasha la
Pasaka akirejea kuketi huku akizungumza na Richard Kasesela na Alex
Msama katikati.
Upendo Kilahiro akiimba jukwaani na kundi la Victoria Singers.
Mashabiki mbalimbali wakimshuhudia mwanamuziki Kekeletse Phoofolo hayupo ichani wakati alipokuwa akifanya vitu vyake jukwaani.
Ikafika zamu ya Upendo Nkone |
Mwanamuiki wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Keke Letse
Phoofolo kazi moja tu burudani .
Rose Muhando na kundi lake wakipagawisha kwenye tamasha la Pasaka jana katika uwanja wa Taifa
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia