HIVI NDIVYO WEUSI & SHETA WALIVYO CHANGAMSHA WAPENZI WA BURUDANI CLUB JEMBE MWANZA USIKU WA KUIKARIBISHA PASAKA.


WEUSI:- Joh Makini (L) na G. Nako (R) wakisanukisha at Jembe Beach Resort Malimbe Mwanza usiku wa kuikaribisha sikukuu ya Pasaka ambapo marafiki walijumuika hapa kushangweka. Burudani itaendelea leo ambapo mchana kutakuwa na Easter Bonanza Skylight Band watakutanisha familia mbalimbali wakitoa burudani ya muziki live na zawadi kwa watoto kiingilio shilingi 3,000/= na wakubwa shilingi 10,000/= kisha mida ya usiku watadili na wakubwa tu kwa kiingilio cha shilingi 10,000/= tu. 
Sheta aka Baba Kayler akisumbuka na shabiki wake.
Wow you C..!!!?
Sheta doing his thing.
Mistari.
Hizi ni kubung'kubaaaaa!!
Respect kwa Brotherz and Sisterz mliokuja Jembe.
'You know then'
Zile swagx za Changamkaa eh bana eeeh siyo za kutengeneza wala 'kameratrik' Jamaa alikamua ile ile. 
Ilikuwa ni some times kushangaa some times shangwe kwake!!
Of coz  unawajua!!
Me and the Boss Dr. Jembe.
Joh Makini and I.
Kwa mbaaaaaaaali ni wadau wanaogonga video kali na audio kali 'dunia nzima' toka Rock City FX Records.
Peace yoooooo!
Kwa mara ya Kwanza kwanza kabisaaaa Video mpya ya wimbo Gere toka kwa kundi la WEUSI ilitambulishwa rasmi.
Chama langu hapa ni Dj Davy (L), Dj Jeff Jerry (C) na G. Sengo (R).
The area with full of .....

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post