Ubunifu:Miaka 50 Ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.Viongozi
wakionja Chakula cha Asili cha Tanzania kilichopikwa hapa Washington
DC,Ugali wa Mihogo,Makande,Ndizi,Kisamvu n.k Vilikuwepo.Katikati
ni Bwana Okoka Sanga akiwa na Viongozi wa Kitaifa waliofika Kuadhimisha
Miaka 50 ya Muungano hapa Washington,Okoka Sanga ni Mtengenezaji
Maarufu wa Kadi na Mifuko ya Zawadi hapa Washington DCMaadhimisho yanaendelea huku Kuta za Jengo la Ubalozi zikiwa Zimepambwa Picha za Viongozi wetu wa Kitaifa.
Bidhaa za Bakharesa pia Zilikuwepo kwenye Sherehe hizi za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano,Hakika Zimefana sana.
Tanzania Nchi inayopendwa na Mataifa Yote Duniani,Kisiwa cha Amani na Upendo.
I love Tanzania,Bibi huyu wa Kizungu alipata Kuishi Tanzania na Kufanikiwa Kupandisha Sehemu ya Mlima Kilimanjaro,Hapa anahamasisha Watu Kupanda Mlima Kilimanjar.
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Kutoka Huston-Texas Waliofika hapa Washington DC Wakiwa katika Picha ya pamoja na Mh:Mwigulu Nchemba mara baada ya Kuzungumza Machache kuhusu Kuimarisha Chama hapa Marekani,

Mh:Mwigulu
Nchemba akimvisha Skafu ya Tanzania huyu Mtoto wa Kizulu-South Africa
aliyepiga Ngoma na kufanya Umati Kushangilia kwa Shangwe,Baba yake wa
huyu Mtoto aliwahi Kuishi Tanzania Mwaka 1982.
Kikundi cha Wacheza Ngoma ya Asili cha Watanzani waishio hapa Marekani Wakitumbuiza Kwenye Sherehe za Miaka 50 ya Muungano.
Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na Watanzania nje ya Jengo la Ubalozi hapa Washington DC.Kwetu FashionNje
ya Jengo la Ubalozi Watanzania wanabadilishana Mawazo,Wamepata Fursa
yakuwa pamoja kwa sababu ya Muungano Wetu uliofikisha Miaka 50 hii leo.Mtanzania akiwaongoza wazungu hawa Kula chakula cha Asili cha Tanzania. Miss
Tanzania wa hapa Marekani aliyeshinda Mwaka Jana 2013/2014 akiwasili
Ubalozini tayari kwa Kuungana na Watanzania Kusherekea Miaka 50 ya
Muungano.Tanzani Is All AaboutUkodak Unahusika.
Watanzania Wamefurahi sana Hapa Washington DC kuadhimisha Miaka 50 ya Muungano,Wamejitokeza Kwa Wingi sana,Hivi ndivyo Muungano Ulivyofana Miaka 50,Nyama Choma na Vyakula vya asili vimepatikana Kwa Wingi hapa TANZANIA HOUS Washington DC.Tanzania Culture is All about. Maadhimisho yamefana sana,Mtoto akionesha Uwezo wa Kucheza Ngoma ya Asili.Chombo cha Habari "SAUTI YA AMERIKA'VOA nao Walijumuika na Watanzania hapa Marekani,.Mtangazaji Hamza Mwamoyo akiwana Viongozi wa Serikali ya Tanzania Mh:Mwigulu NChemba (Kulia) na Mh:Mwinyihaji(Kushoto) baada ya Kufanya Kipindi kitakacho rushwa Voice Of America. Balozi Mulamula akimkaribisha Askari wa Jeshi Kutoka Ubalozi wa Nigeria hapa Washington DC.Col.Mutta Kulia wa Ubaliozi wa Tanzania akimkaribisha Kiongozi Kutoka Ubalozi wa Camerron hapa Washington DC.Mapokezi yanaendelea kwa Wageni Kutoka Mataifa Mbalimbali waliofika Kuhudhuria Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania hapa Washington DC.

Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia