Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM Sixtus Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki, kuwa Kamanda wa Vijana wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. |
Katibu mkuu wa umoja wa Vijana UVCCM, Sixtus Mapunda akimsomea , Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki kiapo cha ukamanda. |
Naibu waziri wa Sheria na
Katiba Angellah Kairuki, akila kiapo cha kusimikwa kuwa kamanda wa
umoja wa vijana UVCCM wilaya
ya Same.
|
Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki akizindua Shina la wakereketwa wa umoja wa Vijana Uvccm, baada ya kusimikwa kuwa kamanda wa umoja huo wilayani Same. |