Rais Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks alipowasili kuweka
jiwe la msingi la ujenzi wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa wa
Julius Nyerere wa Dar es Salaam kwenye eneo la Uwanja huo. Kulia ni
Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe.
Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk.Charles Tizeba
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchukuzi Mhe Peter Serukamba
Rais akisalimiana na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa
Rais Kikwete akisalimiana na Diwani wa Kata ya Kipawa, Mhe Bonnah Kaluwa
Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mama Monica Mwamunyange.
Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa maofisa waandamizi wa mamlaka ya viwanja vya ndege
Rais Kikwete akielekea jukwaa kuu pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks na Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wakiwa wameupuna kwenye hafla hii
Burudani
Wadau mbalimbali akiwemo mkongwe Paul Lyimo (kuli) kwenye hafla hii
Taswirazzz
Wadau
Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya Kuhudumia ndege, abiria na mizigo ya Swissport Tanzania Tanzania Limited, Gaudence Temu (kulia) na wadau wengine
Sehemu ya wadau
Wadau mbalimbali
Maofisa mbalimbali wa huduma za viwanja vya ndege