Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu
na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma Ikulu jijini Dar es
salaam aliyemtembelea
Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru