Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano linalohusu Mkakati wa Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu
katika
Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo April 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kongamano linalohusu Mkakati wa
Kimataifa wa Kuboresha Miundombinu
katika
Ukanda wa Kati (Central Transport Corridor) baada ya kulifungua katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam
leo April 15, 2014