NHC KILIMANJARO WAJITOA KUSAIDIA MABATI KWA WAHANGA WA MVUA YA UPEPO WILAYANI HAI NA MWANGA

Meneja wa shirika la nyumba la taifa mkoa wa Kilimanjaro Shehe Kombo akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa bati kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akizungumza kabla ya kukabidhiwa msaada wa bati kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga.
Watumishi wa shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro
Msaada wa bati ukishushwa .
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akipokea msaada wa bati toka kwa meneja wa shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro Shehe Kombo kama msaada kwa wahanga wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa bati zilizotolewa na shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro, mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga .
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimkabidhi msaada wa bati zilizotolewa na shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro, mkuu wa wilaya ya Mwanga,Shahib Ndemanga.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akimshukuru Meneja wa shirika la nyumba la taifa NHC mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kukabidhiwa msaada wa bati kwa ajili ya wahanga  wa mvua iliyoambatana na Upepo mkali katika wilaya za Hai na Mwanga.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro pamoja na wakuu wa wilaya waliopatiwa msaada wa bati

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia