Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya
CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na vijana wajasiriamali wa
UVCCM,Mara baada ya kufungua Shina la vijana la mshikamano
Visakazi,lililopo kwenye kata ya Ubena Zomozi leo April 1,2014.

Katibu
wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye akizungumza jambo na mmoja wa
wafugaji wa Kimasai wa Tawi la Kivuga kata ya Ubena Zomozi wakati wa
Mkutano wa Kampeni za CCM za Ubunge jimbo la Chalinze,