BREAKING NEWS - AZAM FC YAMTIMUA KOCHA WAKE BORIS BUNJAK


Boris Bunjak

Kocha wa Azam FC mserbia Boris Bunjak ametimuliwa rasmi kuifundisha timu hiyo.
Taarifa rasmi nilizozipata kutoka ndani ya klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya VPL zinasema kwamba kocha huyo aliyesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha Azam mwezi nane mwaka huu ametimuliwa na sasa viongozi wa klabu hiyo wapo katika harakati za kutaka kumrudisha kocha wao wa zamani Muingereza Stewart Hall
Kwa hisani ya bukobasports blog

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post