Baadhi ya wakazi wa eneo la Kambarage kata ya Themi jijini Arusha wakichota maji kwenye chanzo cha maji kilichopo eneo hilo juzi,wakazi hao wamelalamikia hatari ya kupotea kwa chanzo hicho kutokana na ujenzi wa ukuta unaojengwa na kiwanda cha Mt,Meru karibu na chanzo hicho
WAKAZI WAKICHOTA MAJI KTK CHANZO CHA MAJI ARUSHA
bywoinde
-
0