muonekano wa jukwaa A la uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid baada ya kupakwa rangi
kweli mgeni njoo mwenyeji apone uwanja umepakwa rangi umependeza sana ingikuwa siku zote ni raha sana
mafundi wakiendelea na kazi
Posted by woinde on Wednesday, October 31, 2012 in | Comments : 0
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia