BREAKING NEWS

Wednesday, October 17, 2012

NABII GEOR DAVIE AWATAMKIA WAFANYABIASHARA ARUSHA BARAKA ,ADAI YEYOTE ATAKAE FANYA BIASHARA AKIWA NA UCHAWI ATAUMBUKA

 Geor Davie mchungaji na nabii wa kanisa la ngurumo ya upako akiwa anasoma neno mbele ya wananchi waliouthuria mkutano wake wa muda mfupi uliofanyika katika kituo cha mabasi madogo kilichopo jijini hapa.
 muheshimi |Nabii Dr,Geor Davie akiwa anawasili katika kituo cha mabasi madogo cha arusha sehemu ambayo aliandaliwa kwa ajili ya kuwatamkia baraka wafanya biashara wa Arusha pamoja na wananchi wa jiji hilo kwa ujumla
 wananchi waliouthuria katika mkutano huo wa muda mfupi
 picha ikionyesha wananchi wakiwa wanamsubiri nabii
 Akishuka kwenye gari
 mpiga picha  ambaye kwa habari ambazo libeneke limezipa zinadai kuwa ni mtoto wa kwanza wa nabii akiwa anaendelea kufanya kazi yake
 wananchi wakiwa wengine wamepanda juu ya vibanda kwa wakipokea baraka

mara baada ya nabii kuondoka standi ndogo ilisemekana ameenda katika uwanja wa kumbukumbu ya sheikh Amri Abeid ivyo waumini wengi wa ngurumo ya upako walienda kumsubiri nje ya geti la uwanja huo ambao leo hii pia utakuwa na mechi ya timu ya Jkt Oljoro pamoja na African lion  ,hivyo wafuasi hao kuzuiwa kuingia

Mchungaji ambaye ni nabii wa kanisa la ngurumo ya upako Dr.Geor Davie leo amewatabiria baraka wananchi pamoja na wafabishara wa jiji la Arusha wakati alipofanya mkutano wa mda mfupi ndani ya standi ya magari madogo mkoani hapa.
Akiongea na wananchi hao leo asubui nabii huyo alisema kuwa ametumwa na mungu kuwatamkia baraka wananchi wa mkoa wa Arusha pamoja na wafanya biashara wote hivyo ameamua kutekeleza sauti ya mungu .
Alisema kuwa  kwa kila mfanya biashara wa jiji la Arusha atarajie kupata baraka za mungu kwa kila mmoja kuuza kupita kiasi pamoja na mwananchi yeyote wa mkoa wa Arusha kuonekeana kipaumbele kila mahala aendapo na kila ambaye  ana kazi atarajiw kupokea kazi kuanzia pale alipotamka baraka hizo.

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates