WAANDISHI WA HABARI WA ARUSHA WAPATIWA SEMINA YA ELIMU YA MTANDAO

 mkufunzi wa semina ya waandishi wa habari zamtandao Lukelo Filex Mkami akiwa anatoa mafunzo kwa waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha
Picha ya juu na chini ni  Baadhi ya waandishi waliouthuria semina hii katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Olasiti wakimsikiliza mwalimu kwa makini
Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Arusha leo  wameanza semina ya siku nne ya uandishi wa habari wa  mtandano (online Journalism ) inafanyika katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya Olasiti iliyopo nje kidogo ya jiji la Arusha

Semina hii iliyoandaliwa na UTPC kwa kushirikiana na Arusha press Klabu natarajiwa kuwapa elimu baadhi ya waandishi wa habari ambapo lengo kuu ni kuwawezesha wanahabari kupata elimu kuhusiana na jinsi ya kuwa andika  habari kupita mitandao

mkufunzi wa semina hiyo Lukelo FilexMkami alisema kuwa baadhi ya mambo atakayo yafundisha ni pamoja ni jinsi ya kujitambua ,kujiamini,kuthubutu pamoja na kutenda

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post