Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa (pichani) ameibuka Kidedea na kuvunja rekodi ya Mwaka baada ya kutetea nafasi yake ya Ujumbe UVCCM kwa kupata kura 501 ambazo ni nyingi kuliko hata Mwenyekiti katika chaguzi zilizofanyika mjini Dodoma. Na Mdau Dodoma
JERRY SILAA AVUNJA REKODI KWA KUPATA KURA NYINGI NAFASI UJUMBE UVCCM
bywoinde
-
0