SPANISH PRIMERA BBVA: MALLORCA 0 VS REAL MADRID 5, CHRISTIANO RONALDO NA HIGUAIN WAICHINJA MALLORCA!!!


Real Madrid wameifunga timu ya Mallorca goli 2-0 goli kipindi cha kwanzazilizofungwa na G Higuain dakika ya 8 na goli la pili kufungwa na Ronaldo dakika ya 22 kipindi cha kwanza.
Mchezo ulikuwa ukichezewa kwao Mallorca Iberostar Estadi -Palma de Mallorca
Kipindi cha pili dakika 70 Higuain anaipatia goli la 3 Real madrid kwa basi nzuri ya Ronaldo. Dakika ya 72 Christiano Ronaldo anaipatia tena goli la 4 timu yake. Dakika ya 90+1 Callejonaliyetokea benchi anamalizia dakika 90 kwa kuifunga Mallorca goli la 5 na la mwisho na punde refa anapuliza kipenga kumaliza mechi.Hi-res-154886635_crop_650Ronaldo akiwakacha mabeki wa Mallorca na kufunga goliHi-res-154889151_crop_650
Christiano Ronaldo kushoto akifurahia ushindi na Di Maria kulia jana usiku.
VIKOSI:
Real Madrid: Casillas; Ramos, Pepe, Varane, Essien; Modric, Alonso, Di María, Mesut Özil, Cristiano; Higuaín
Bench: Adán, Kaka, Benzema, Albiol, Callejon, Nacho, Morata

Mallorca: Aouate; Ximo, Geromel, Anderson, Bigas; Gio, Nsue, Fontas, Marti; Casadesus & Hemed

MATOKE YA MECHI ZA LEO TAREHE 28.10.2012
ZARAGOZA 2 - 1 SEVILLA
LEVANTE 3 - 1 GRANADA
ATH BILBAO 1 - 2 GETAFE
A MADRID 3 - 1 OSASUNA
MALLORCA 0 - 5 REAL MADRID
















MSIMAMO ULIVYO KWA SASA BAADA YA MECHI ZA LEO

Pos   Team P Pts
1 Barcelona 9 25
2 Atletico Madrid 9 25
3 Malaga 9 18
4 Real Madrid 9 17
5 Real Betis 9 16
6 Levante 9 16
7 Sevilla 9 14
8 Getafe 9 13
9 Real Zaragoza 9 12
10 Valencia 9 11
11 Real Mallorca 9 11
12 Real Valladolid 8 10
13 Celta Vigo 9 10
14 Rayo Vallecano 9 10
15 Real Sociedad 8 9
16 Athletic Bilbao 9 8
17 Granada 9 8
18 Deportivo La Coruna 9 7
19 Espanyol 9 6
20 Osasuna 9 5

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post