TUKUMBUSHANE RANGI YA MWAKA HUU 2012 BLUE IRIS


Kwa mujibu wa mtandao wa pantone color institute ambao wanashughulika na rangi imedai kuwa BLUE IRIS ndo rangi ya mwaka huu
Hilo nililithibitisha katika tukio la Grammy Award ambapo masuper staa kibao wamajauu walikuwa wametinga rangi hiyo.
Rangi hiyo si nyengine bali ni blue iliyokolea na ile blue inayoelekea kwenye zambarau nzito
Wajuzi wa mambo wamedai kuwa ndio hiyo rangi nzuri ila itapendeza zaidi kwa nguo za usiku Evening dress sio rangi ya kuvaa masaa yote... Nadhan ustukia hilo ndo maana hajamwaga nyingi mitaani hadi sasa nimeonaviatu ila navyo ni vya mtoko tu
Na wale wenzangu na mie ambao tunapenda kutumia rangi ya mwaka kama rangi za harusi kwa rangi hii tumechemsha... haipendezi kuwa rangi ya harusi...hivyo endeleeni na zile zile apple green, baby Blue nk
Habari ndo iyoooo

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post