HARUSI YA ARNOLD NA BI ANITHA YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM




Pendedhaaa eeenh! Kayanda akiwa na 'mai waifu' wake Aneth.

Hapa mharusi wakikata keki

Vikorombwezo

Wakilishana keki


Twenzetu....! Maharusi wakiingia ukumbini.

Wakipokewa ukumbini na MC wa shughuli hiyo, 'Mzee wa Salam Aleko' Ephraim Kibonde

Hapa wakiwakabidhi keki wazazi.

MC wa shughuli hiyo, 'Mzee wa Salam Aleko' Ephraim Kibonde akifanya vitu vyake.

CHUKUA KITU..

Wapambe wa biharusi Aneth

Kayanda na 'mai wafiu' wake Aneth wakiingia ukumbini (PICHA ZOTE KWA HISANI YA: issamichuzi.blogspot.com)

Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha redio ya Clouds FM, Arnold Kayanda aliuaga ukapera juzi baada ya kufunga ndoa na mchumba wake wa 'long taim kitambo' aitwaye Aneth na kisha kufuatiwa na 'mnuso' bab'kubwa kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post