hapa ndipo katikati ya jiji la Arusha panajulikana kwa jina la mzunguko wa Clock Tower
Baadhi ya waandishi wa habari waliouthuria semina ya Online jonalism wakiwa wanabadilishana mawazo wakati wa chai
Mdada wa LIbeneke la kaskazini Blog akiwa na mwimbaji Lina walipokutana katika hotel ya Naura