MAJONZI, HUZUNI, NA SIMANZI ZIMETAWALA MAENEO YA KIJENGE JUU KATA YA KIMANDOLU ILIYOKO MKOANI ARUSHA BAADA YA KITOTO KICHANGA KUKUTWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVESI
| Mtoto mwenye umri wa siku moja mwenye jinsia ya kike aliyetupwa akiwa ndani ya ndoo kama anavyoonekena katika picha ya juu na chini |
| baadhi ya watu waliojitokeza kushangaa tukio hilo la mtoto huyo akiwa ndani ya ndoo |
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia