Nicodemus Ikonko wa Shirika la Habari la Hirondelle, akivishwa mataji na dada yake, Agatha Ikonko baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza ya Uandishi wa Habari, BA (Journalism) katika mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, katika sherehe iliyofanyika makao makuu ya chuo hicho yaliyopo Bungo, Kibaha,mkoani Pwani, Oktoba 27, 2012.