Kamanda wa Operesheni Maalumwa Jeshi la Polisi, Peter Mvulla akiwa
ameshika bomu la kutoa machozi aloilolichukua kutoka kwa mmoja wa
wanafuzi wa Shule ya Sekondari Kimnyaki iliyopo wilayani Arumeru Mkoa wa
Arusha. Bomu hilo lilirushwa kwa wanafunzi hao askari wa Kikosi cha
Kutuliza Ghasia (FFU) bila ya kulipuka na kuwaepusha na madhara ambayo
yangeweza kutokea