Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Vunjo-TLP Augustine Lyatonga
Mre ma Muda mfupi baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasili katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa
wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na
wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa
wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitazama ngoma baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa
wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na
wananchi baada ya kuwasili wilayani same Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 kwa ziara ya siku nne ya Mkoa
wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Sehemu ya viongozi mbalimbali wakiwakatika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 kumlaki Rais Jakaya Kikwete ambae ameanza ziara ya siku nne ya Mkoa
wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wilayani same Kilimanjaro leo Oktoba 28, 2012 kwa ziara ya siku nne ya Mkoa
wa Kilimanjaro akianzia Wilaya ya Same.Picha asilia yetu blog