Wageni wakiwa wanaangalia bidhaa zinazotengenezwa na wamasai zilizopo ndani ya hifadhi ya ngorongoro
waandishi nao hawapo nyuma kuanunua apo mkaka akiwa anachagua zawadi ya asili hii yote kudumisha utalii wa ndani
wageni ambao ni wazawa wa Tanzania wakiwa wanapata maelezo kuhusiana na hifadhi ya ngorongoro
wamama wa kimasai wakiwa wamemuunga mkono mdada wa libeneke kucheza ngoma ya kimasai
wageni wakiwa wanaangalivitu mbalimbali vya asili
Hii ndio baiskeli ambayo inadaiwa mtafiti Dkt,Yoshiharu Sekino wa asili ya kijapani alitumia kutembelea nayo hadi Tanzania |
wageni wakipewa ramani nzima ya hifadhi ya ngorongoro
picha ya juu na chini muonekano wa hotel ya serena iliyopo manyara