HALI YA MWANA MUZIKI RAY C YAWAMBAYA KUTOKANA NA MADAWA YA REHAB



Rehema Chalamila binti mwanamuziki maarufu aliyezaliwa Mafinga, Iringa  May 15, 1982 maarufu kwa jina la  Ray C na pia kwa kiuno bila mfupa, ambae ameweza kufurahisha nyoyo za wengi kwa sauti yake tamu, kwa wakati huu inasemekana yuko katika mtihani mkubwa wa kujaribu kuacha kutumia madawa ya kulevya.
 Kumekuweko hadithi mbalimbali kwa muda mrefu kuwa anajihusisha na matumizi ya madawa hayo, hatimae sasa inadaiwa hali imefikia pabaya kiasi cha kulazimika kuingia kwenye hospitali zenye utaalamu wa kusaidia kuacha matumizi ya madawa hayo(Rehab). Ikiwa ni kweli wote tuliokuwa tukipenda muziki wake tumuombee Mungu ampe nguvu aweze kushinda mtihani huu mgumu

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post