Moja
ya sehemu ya kumpumzikia iliyopo jijini
Arusha
Urembo
wa asili uliopo ndani ya jiji la Arusha urembo huu pamoja na nguo za asili zinatengenezwa na
wanawake wajasiriamali wa jiji hilo
a
Hawa ni waandishi wa habari waandamizi wakati
walipopata fursa ya kutembelea hifadhi
ya ngorongoro hivi karibu hii ikiwa ni majumuisho ya mkutano wa maliasili
uliomalizika Arusha